Muziki wa laivu na dansi

Wasanii kutoka maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki walitumbuiza (walipanda) kwenye jukwaa kuu mchana kutwa, wakipiga ngoma, kucheza na kuimba.